VIWANJANI | Azam FC wameachia nyuma ya pazia sare 2-2 dhidi ya Simba
VIWANJANI | @abuuyusuftz anatupa zilizobamba mitandaoni katika kipindi cha #Viwanja ambacho huruka #AzamSports1HD kuanzia saa 3:00 asubuhi Jumatatu mpaka Ijumaa.
✍️ @jairomtitu3
#Mitandaoni