MENU

Fun & Interesting

MAAJABU: NDEGE ILIYOPOTEA ANGANI/ABIRIA 227/KIKUNDI CHA MAUAJI /WAHUSIKA WATAJWA/INATISHA..| EP 06

Dar24 Media 6,160 8 months ago
Video Not Working? Fix It Now

Ni makala yenye kuelezea kisa kilichojaa utata, na bado ni kitendawili cha ulimwengu mzima, ni baada ya tukio baya la kupotea kwa ndege ya abiria ya MALAYSIA AIRLINE MH370, ikiwa safarini kutokea katika taifa la MALAYSIA ikielekea katika taifa la CHINA ikiwa na zaidi ya abiria 200. Bado ni mtihani wako wapi watu hawa?, na maswali muhimu kama iko wapi ndege hii? na tukio hili ukweli wake ni upi? Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: [email protected] ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #makala #malaysia #dupamdupange

Comment