WAFUGAJI WENGI TUMEKUWA TUNAFANYA MAKOSA KATIKA KUFANYA MAAMUZI YA IDADI GANI YA KUKU INAFAA KUANZA NAYO.
TUMEKUWA TUNAFUGA KWA KIWANGO AMBACHO HAKINA TIJA NA HAKIWEZI KUTUFIKISHA KWENYE MALENGO YETU KIBIASHARA, AMA TUNAFUGA KIWANGI KIDOGO SANA AU KIWANGO KIKUBWA SANA.
KATIKA VIDEO HII NIMEKUANDALIA MWONGOZO UTAKAOKUSAIDIA KUFANYA MAAMUZI NI KIWANGO GANI UNAWEZA KUANZA NACHO ILI KUWEZA KUFIKIA MALENGO YAKO KIBIASHARA.
NAKUSIHI ANGALIA VIDEO MPAKA MWISHO NIMETOA MAONI BINAFSI YA KIWANGO AMBACHO UKIANZA NACHO KITAKULETEA FAIDA KUBWA NA KUWEZA KUENDESHA MAISHA YAKO KUPITIA UFUGAJI
USISAHAU KU SUBSCRIBE, COMMENT NA KU SHARE NA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI ILI TUJENGE FAMILIA YETU PAMOJA NA TUWEZE KUJIFUNZA PAMOJA
KUKU NI PESA
KUKU NI BIASHARA
Moses T. Kimala
MD- JM INVESTMENT LTD