Selemani Msindi ameendelea kutupa maneno mengi ya busara na kufurahisha katika meza yetu ya Bongo Project. Hii tulimtembelea kwao Morogoro. Isikupite
#selemanimsindi #afandesele #bongoproject #bongofleva #morogoro
Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.
--------------------
WEBSITE
--------------------
https://bongoproject.org/
--------------------
SOCIAL MEDIA
--------------------
Instagram: https://www.instagram.com/bongo_project/
Facebook: https://www.facebook.com/Bongo-Project-102566415873260
TikTok: https://www.tiktok.com/@bongoproject
--------------------
CONTACT
--------------------
Email: [email protected]