MENU

Fun & Interesting

Agape Gospel Band - Wazee 24 ( Official Music Video )

Agape Gospel Band 2,410,566 12 months ago
Video Not Working? Fix It Now

Ufunuo wa Yohana 4:4 [4]Na viti ishirini na vinne vilikizunguka kile kiti cha enzi, na juu ya vile viti naliona wazee ishirini na wanne, wameketi, wamevikwa mavazi meupe; na juu ya vichwa vyao walikuwa na taji za dhahabu. Zaburi 97:9 [9]Maana Wewe, BWANA, ndiwe Uliye juu, Juu sana kuliko nchi yote; Umetukuka sana juu ya miungu yote. Nasisi Agape Gospel Band tunaungana nao wazee ishirini na wanne na wenye uhai wanne tukisema BWANA UMETUKUKA MILELE 🙌🏼🙌🏼 Credits: Venue :Calvary Temple (Arusha) Video Directed by : Amigo Johnson (Amijoji Company Ltd) Audio Capturing :Sam Mboya Sound Engineer: Mitchell Mike Audio Mixing &Mastering : Baraka Ngowi (b_ngowi) Backline :Maksudi P.A : Tumaini Shangilieni Choir Lights :Nyakalo Stage lights Decor :Bervely Betwell Connect with us Via: Mobile :+255 710 087 353 Whatsapp: https://wa.me/c/255710087353 Instagram :https://instagram.com/agapegospelband Tiktok:https://www.tiktok.com/@agapegospelband Twitter:https://twitter.com/agapegospelband Facebook:https://www.facebook.com/agapegospelband

Comment