MENU

Fun & Interesting

ANITA - SIMULIZI FUPI

LUCAS LUMBASI SIMULIZI 31,739 1 year ago
Video Not Working? Fix It Now

🤣🤣 Ilikua mwaka 2015 nimemaliza shule Mwenyewe uku songea kwetu nilikua kabinti kapole Mwenyewe sijui ata kuongea sina makundi nipo tu🤣🤣🤣🤣nilikuwaga napenda sana kucheka kila kitu mimi ni kucheka cheka tu🤣nakumbuka baada ya kumaliza mtihani wa form four mimi na mashoga zangu tulitoka kwenda out club kucheza disco et🤣🤣🤣 siunajua mtu akiwa mshamba na mambo ya clabu inakuwa ni maji na mafuta🤣🤣🤣 tumeingia club mi nikatafuta pakujificha naona aibu kucheza😁😁😁😁 #SIMULIZI

Comment