Rais Magufuli wa Tanzania na Rais Museveni wa Uganda leo wamekutana na wanahabari nchini Uganda, na kujibu maswali kuelekea uzinduzi rasmi wa ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Hoima Uganda hadi Tanga, Tanzania.