Katika video hii utajifunza Gharama ya kufuga kuku wa mayai 300 kuanzia siku 1 mpaka wiki ya 24
Ukihitaji vifaranga wa mayai agiza katika namba hii 065963232
Aina ya vifaranga: BOVANS BROWN
Bei :2600
Gharama ambazo nimeziainisha katika video hii hazihusishi GHARAMA YA KUJENGA BANDA NA VYOMBO