Unapofikiria kuanza kufuga moja ya swali la msingi kujiuliza ni hili, Je mradi wako wa ufugaji utakugharimu kiasi gani?
Katika video hii nitakueleza gharama ya kufuga sasso 200
Kwa kawaida ufugaji wa kuku unaanza kwa Kufikiria kuhusu Soko, aina ya kuku unaotaka kufuga, Banda, etc
1.Jifunze kuhusu Utafiti wa Soko👇🏽
https://youtu.be/GwyhAwD-Hh4
2.Je ufuge kuku aina gani?👇🏽
https://youtu.be/DUrMvGZIJtQ
3.Jifunze namna ya kujenga Banda Bora katika video hii👇🏽
https://youtu.be/LbmUhG1I0Ts
4.Je mfumo gani unalipa zaidi ?👇🏽
https://youtu.be/vFlBAyNoo_M
Mawasiliano: 0659632332