Ni kisa kizuri sana cha kusisimua ambacho kijana Kapela ambaye familia yake ni ya kitajiri saana anaamua kuishi maisha ya kawaida ili apate mke wa maisha, kwani aliona wanawake wengi wanakuja kwake kwaajili ya pesa zake.
akajikuta akimpenda saana binti kiziwi aitwae Batuli akitokea familia ya kimaskini sana.
wazazi wake na Kapela walihitaji mtoto wao aoe tajiri mwenzake.
hii simulizi ni tamu sana na yenye mafunzo
SIMULIZI FUPI | LUCAS LUMBASI