historia yangu mimi na mke wangu Shanna, mahusiano yoyote yanahitaji uvumilivu, msamaha na upendo wa dhati, asanteni kwa wote mlioifuatilia simulizi hii nina imani kuna mengi mliyojifunza.