Black Mamba ni nyoka hatari zaidi duniani anayepatikana Afrika pekee,
ni nyoka hatari kuliko nyoka wote uliowahi kuwasikia ama kuwaona kwa macho yako,na ukikutana nae ni lazima akudhuru na madhara yake hupelekea kifo kabisa ndani ya dakika 20 tu.
fuatilia simulizi hizi nzuri za maajabu ya ulimwengu huu kila siku ya jumapili kupitia MCL DIGITAL