MENU

Fun & Interesting

Bongo Mix (Valentine 2025) - DJ King X Nandy, Jay Melody, Diamond, Mario, Zuchu, Bien & Willy Paul

DJ KING KENYA 203,511 lượt xem 1 week ago
Video Not Working? Fix It Now

🔥 BONGO MIX | DJ MIX YA NYIMBO ZA MAPENZI 🔥

Wapenzi wa Bongo Flava na R&B, hii ni mix ya kipekee iliyojaa nyimbo tamu za mapenzi kutoka kwa wasanii wakali wa Tanzania na Kenya! 🎶💖

✅ Wasanii waliomo: Willy Paul, Diamond Platnumz, Zuchu, Nandy, Mario, Bien na wengine kibao!
✅ Mchanganyiko wa midundo ya mahaba – R&B, Afrobeat, na Bongo Flava 🎼🔥
✅ Mix kali yenye mpangilio safi, perfect kwa lovers na wale wanaopenda vibe laini! 💃🏽🕺🏽

👉 Usisahau KULIKE, KUCOMMENT na KUSUBSCRIBE kwa mix zaidi! Pia bonyeza 🔔 notification bell ili usikose updates mpya.

📢 Share na marafiki zako tuenzi mziki mzuri! 🎵🇹🇿🇰🇪

#1million #mapenzi #djmix #diamondplatnumz #zuchu #willypaul #nandy #bien #tanzaniamusic #kenyanmusic

Comment