Kuna makosa ya kawaida yenye athari ndogo na kuna makosa fulani yenye athari kubwa sana kwenye ndoa. Wanawake wengi pasipo kujua wamekuwa wakifanya makosa yenye athari zinazowagharimu bila wao kujua. Haya hapa makosa hayo