THE PLAYLIST ni Show kali ya weekend inayowashusha mastaa kibao ndani ya Studio za 100.5 Times FM kuchagua ngoma 5 kali wanazozikubali na kupiga mastori kibao kuhusu Music, Fashion & LifeStyle, Gadgets & all that.
Show inaruka kwa hewa kila Jumamosi, Saa 6 - 8 Mchana kupitia frequency ya 100.5 Times FM chini ya Presenter Mkali, the Baddest boi, Omary Tambwe aka Lil Ommy.
Subscribe, Watch, Share.
Part 1: https://www.youtube.com/watch?v=2ggtvXg74Xc&t=1305s
Niguse kwenye social networks:
http://www.instagram.com/lilommy
http://www.twitter.com/LilOmmy
http://www.lilommy.com for more interviews, hot news, exclusives, music, videos, artists profiles, gossip etc.