MENU

Fun & Interesting

DUH! MAGUFULI ASHTUKIA MCHEZO MCHAFU - AMBANA MEYA - "PESA ZIKO WAPI?"....

Global TV Online 1,547,966 lượt xem 5 years ago
Video Not Working? Fix It Now

DUH! MAGUFULI ASHTUKIA MCHEZO MCHAFU - AMBANA MEYA - "PESA ZIKO WAPI?"....

Rais Dkt John Magufuli, leo Oktoba 07, amewasili mkoani Sumbawanga akiendelea na ziara yake nchini ya kukagua na kuzindua miradi mbalimbali...

Katika ziara yake ambayo ilianzia mkoani Songwe, Rais Magufuli, ameongozana na mawaziri mbalimbali akiwemo Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga, Waziri wa mambo ya nje, Profesa Kabudi pamoja na naibu waziri wa michezo, Juliana Shonza..

#RAISMAGUFULI

YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 739 750 910 au +255 784 888982)
---------------------------------------------------------------------------------------
HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list...

HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
https://www.youtube.com/playlist?list...

GLOBAL RADIO TV:
https://www.youtube.com/playlist?list...

EXCLUSIVE INTERVIEWS:
https://www.youtube.com/playlist?list...

Comment