MENU

Fun & Interesting

EDNA | PART 16 | EDNA KACHARUKA, AMWAMBIA ROMA ACHAGUE KATI YAKE YEYE AU SEVENTEEN

LUCAS LUMBASI SIMULIZI 12,096 8 months ago
Video Not Working? Fix It Now

"Sina uhakika kama bado nampenda au lah,Nimejuana na Seventeen miaka Zaidi ya ishirini na mbili iliopita kabla sijarudi Tanzania , Seventeen kwangu alikuwa ndio kila kitu , alikuwa ndio sababu ya mimi kuishi licha ya kupitia kipindi cha maumivu makali nikiwa katika utoto wangu , kila nilipofikiria kukata tamaa na kumwangalia Seventeen ambaye bado alinihitaji nilipata nguvu upya , hatukuwa wapenzi kwasababu hatukuwahi kutongozana na kuambiana tunapendana wala kupeana zawadi , muunganiko wetu ulikuwa ni Zaidi ya wapenzi"...... Baada ya Roma kusema hivyo, Edna alimwambia Roma achague kati yake yeye na Seventeen nani atabaki nae. JE! UAMUZI WA ROMA NI UPI? ungana nami Lucas Lumbasi sehemu hii ya 16 #Simulizi #Edna #Story

Comment