Panya wamekula mazao ya Mzee Kigo, lakini Kibena ana mpango kuwahamisha kwenye makazi mapya. Kwa kujifunza mamoja, makumi, mamia na maelfu, Kibena anahakikisha panya wote wafike kwenye makazi mapya.
mamoja, makumi, mamia na maelfu
Ubongo Kids on TV: https://www.ubongo.org/shows/showtimes/
https://www.ubongokids.com
https://www.facebook.com/ubongokids/
http://twitter.com/ubongotz
Created by Ubongo: Africa's leading edutainment company, who create fun, localised and multi-platform educational media that reaches millions of families through accessible technologies. Their programs significantly improve school readiness and learning outcomes for kids, and also promote social and behavioural change for kids, caregivers and educators.
https://www.ubongo.org
#Ubongokids #kiswahili #Katunizawatoto