FUMANIZI: MUME AMUUA, AMCHOMA MOTO MKEWE BAADA YA KUMNASA 'LIVE' AKIFANYA TENDO LA NDOA NA MCHEPUKO..
Jamaa mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Nelly, mkazi wa mtaa wa Dovya, Kata ya Bunju wilaya ya kinondoni jijini Dar, amedaiwa kumuua mkewe kisha kumchoma moto baada ya kumfumania mkewe aliyetajwa kwa jina la Maimuna akiwa na mwanaume mwingine chumbani kwake.
Taukio hilo la kikatili limetokea usiku wa kuamkia jana Mei 4, 2022 ambapo inaelezwa kuwa, Nelly na mkewe walitoka usiku kwenye starehe kisha mwanamke huyo akawahi kurudi nyumbani na kumuacha mumewe akiendelea na starehe na aliporejea ndipo alipomkuta mwanamke huyo akiwa na mwanaume mwingine.
Wandishi wetu Issa Mnali na Richard Bukos, wamefika eneo la tukio na kuzungumza na jirani pamoja na mwenyekiti wa Serikali ya mtaa ambao wameelezea jinsi tukio hilo lilivyotokea.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: [email protected] OR [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline