Ni hakika MUNGU wa mbinguni akiahidi huwa asemi uongo japo tunapitia katika kipindi kigumu kwa sababu yeye ametuahidi kwamba yaliyo magumu tukimuomba kwa kufunga na kuomba yote yanawezekanakwa sababu ametuahidi. #savp #savptv #savplive
#savpupdate
Follow us on our.
Instagram account: savp tv
SUBSCRIBE | COMMENT | LIKE | SHARE