GAMBO APINGWA NA WAPIGA DEBE ARUSHA BAADA YA KUMJIBU MAKONDA WAAHAIDI KUMRESTI CHAP ATIE SAINI FOMU.
Mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo amejikuta kwenye hali mbaya zaidi kisiasa baada ya kumjibu Mkuu wa Mkoa Paul Makonda kuhusu tuhuma za upigaji wa Milioni 252.
Wapiga Debe wa Jiji la Arusha wameunga mkono kauli ya madiwani ya Kumtaka Makonda kuchukua fomu ya ubunge na waahaidi kumlipia ili awe Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini.
@ITVTanzaniaTz @ikulutanzania255 @CLOUDSMEDIA @azamtvtz @CrownMediaTZ @TBC_Online @kitengetv @samiaTV @manaratv__ @Wasafi_Media @NgorongoroConservationArea @tanapapoen @UTALIITV1
Wafuasi hao wamedai kuchoshwa na visingizio vya mbunge wa sasa na kudai kuwa hajawai kuwafikia makundi hayo toka awe mbunge ila kwa kiindi cha Miezi 6 Makonda amefikia makundi yote.