Katika Darsa hili Sheikh Othman anasafiri nasi katika visa vitamu katika maisha ya mtume,kuanzia habari za kiama,bedui aliyeleta mitihani kwa mtume,tabia njema za mtume hadi Stori ya kijana alie muombea dua mchumba wake kwenye sala ya Jamaa akiwa imamu.