Kijana Juma Abdulrahman Mohammed aliuawa na watu waitwao wenye hasira kwa tuhuma za wizi wa kuku watatu kisiwani Pemba. Akiwa na miaka isiyotimia 30, ndivyo hadithi yake ya maisha ilivyomalizwa.