Majira ya Mchana wa jua la saa nane, Halima alimaliza kupika chakula cha mchana na kutenganisha katika vyombo mbalimbali huku akitenga kwa ajili ya waliokuwepo na ambao hawakuwepo wakati huo.