Wilaya ya Karagwe Kagera imeingia tena kwenye headlines kwa mkasa uliotokea katika kata ya Ndama baada ya Mchungaji wa kanisa katika huduma ya kristu {H.K.K} Japhes Josephat kumuoa Mke wa muumini wake kwa madai ameoteshwa na Mungu.