Historia Yake: Mwanamke aliyegeuka jiwe Kizimkazi || Msikiti uliojengwa mwaka 1107 Kizimkazi
Historia ya leo inazungumzia kisa cha mwanamke aliyegeuka kuwa jiwe huko Kizimkazi na pia msikiti mkongwe kuliko yote Afrika Mashariki
#diaspora #history #swahili #africa #zanzibar #wasafi #mapinduzicup #diamondplatnumz