Leonardo @laughs_on_leonardo ni moja kati ya wachekeshaji mahiri na msomi kutoka nchini Tanzania.
Mwandishi wa BBC @mcdavid_nkya_ aliongea na @laughs_on_leonardo na kuzungumza masuala mbalimbali ikiwemo msemo wa D mbili na wazo la kutumia shati lake maarufu katika vichekesho vyake mtandaoni.
Tembelea ukurasa wa YouTube wa BBCSwahili kutazama mahojiano haya kwa urefu
#bbcswahili #tanzania #uchekeshaji
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw