INASIKITISHA!! ANAKUA KIPOFU KISA MAPENZI , MIMBA YAHARIBIKA, AGOMA KURUDI KIJIJINI - HEART TO HEART
Usicheze na hisia za watu.
Hii ni story ya mwanamke kutoka kijijini ambaye amedanganywa na mwanaume kuwa anampenda na yupo tayari, baada ya kutumika kimwili, huyu dada anagoma kutumika kama chombo cha starehe na badala yake analazimisha kuondoka mjini na mwanaume aliyekua akimdanganya.
Jina la movie / Filamu : Heart to heart / Moyo kwa moyo
Washiriki : Maurice Sam & Ruth Kadiri
Nchi : Nigeria 'Nollywood'
Mwaka : 2025
Lugha : Kiswahili / Imetafsiriwa kwa kiswahili
Maudhui : Mapenzi
Kwa mawasiliano, wasiliana nasi kupitia: evvycreatives@gmail.com
#️⃣
#love #lovestory #lovemovie #drama #dramamovie #tanzania #nigeria #latestmovie #2025 #netflix #movie #movies #muvi #tamthilia #filamu #evvymovies #mauricesam #ruthkadiri #mauricesammovies2025 #nigerianmovies #nollywoodmovies #africanmovie #2025movies #nigerianfilms #lovestorymovie
Evvy Movies 2025, All copyrights reserved