Binti/Mwanamke, Ulishawahi kukutana na Handsome ukaona bora ukaenae mbali ili asikutongoze maana akikutongoza utapata ugonjwa wa moyo kuwa na Mwanaume mzuri ambae unahisi utakuja kufa kwa wivu???🤣🤣🤣🤣🤣 Je! Ulishawahi kuchumbiwa halafu mchumba akabadili gia angani
Ungana nami Lucas Lumbasi katika simulizi hii fupi ya mapenzi na yenye kusisimua
KAMA UMEPENDA SIMULIZI ZANGU LIKE, SHARE, COMMENT, SUBSCRIBE NA USISAHAU KUBONYEZA ALAMA YA KENGERE ILI USIPITWE NA SIMULIZI MPYA
Pia Tembelea kurasa zangu za mitandao ya kijamii
TIKTOK: https://www.tiktok.com/@lucaslumbasi
INSTAGRAM: https://www.instagram.com/lucaslumbasi_tz/
FACEBOOK: https://www.facebook.com/mrlumbasi