Watu wengi huamini kuwa ukomavu huja na umri, lakini ukweli ni kwamba ukomavu uko kwenye uwezo wako na jinsi unavyoshughulikia na kuzikabili changamoto za maisha ya kila siku. Waonyeshe ukomavu wale wanaohitaji kuwa chini ya ushawishi wako.
Je, unazijua ishara 10 zinazokusaida kujua kama umekomaa kiupeo, kifikra, kiakili ana kimtazamo?
Katika video hii, tunazichambua hizo ishara 10 za ukomavu kwenye maeneo ya akili, upeo, fikra na mtazamo. Unagana na Michael Kamukulu kupitia @lenzi.michaelkamukulu na @lenzimeacademy upate kujifunza zaidi.
Unahitaji kuwa na mipango ya mafanikio inayokupa matokeo kwenye maamuzi unayofanya kwa ajili ya maisha yako ya kila sku wewe na watu wako wa karibu. Huwezi kuwa mtu mkubwa, mtu wa pekee au mtu wa tofauti bila kuwa na ukomavu kwenye maeneo ya msingi.
Unahitaji ukomavu kifikra na kiupeo ili kuweza kufikia hatua na viwango vya juu vya mafanikio na matokeo kwenye maeneo ya kifedha, kiutawala, kiumiliki na kiushawishi. Na ukishakuwa kinara kileleni kwenye eneo lako la mafanikio, unahitaji pia kuwa na ukomavu na uwezo wa kudumu na kuendeleza ukuaji wako na mafanikio yake katika maeneo hayo.
Pesa inakaa kwa wenye ukomavu wa kipesa, mahusiano yenye kudumu yanapatikana kwa wenye ukomavu kwenye eneo la mahusiano.
Ukifikia kiwango hiki cha ukomavu, maisha yako yanabadilika kwa kiasi kikubwa – unakuwa na amani, unajiamini zaidi, na unajua nini kinastahili muda wako.
Jifunze jinsi ya kufanya ili uwe tofauti, na upate fursa na nafasi ya kuinuka na kusimama imara ukiwa kiongozi na mwongoza njia wa maisha yako na kuwa na ushawishi kwa watu wengi. Pata maarifa na ujuzi utakaokubadilisha na kuwa na tabia za watu wenye mafanikio na matokeo makubwa kifedha na kimaisha kwa ujumla. Ni wakati wako kung'ara na kuwa mtu wa thamani zaidi kwa wengine na kwa maisha yako. Utajiri na umasikini vyote viko kwenye nguvu ya tabia, mienendo na maamuzi yako ya kila siku.
📌 Unapojitambua, unajifunza:
✅ Kutopoteza muda kwa ushindani usio na maana
✅ Kuthamini faragha yako na kuchagua marafiki wa kweli
✅ Kuwa msikilizaji mzuri na kupokea maoni kwa busara
✅ Kutanguliza furaha yako na kuheshimu maamuzi yako
Tazama video hi hadi mwisho ili upate mafunzo yote muhimu.
🔔 Usisahau:
✔️ Ku-like, ku-subscribe, na kushare na wengine!
✔️ Kuweka maoni yako—ni ipi ishara inayokuvutia zaidi?
———————————————
Wasiliana nasi kwa huduma zaidi ikiwemo:
1. Mafunzo na mwongozo maalum wa kufikia malengo (personal/individual coaching)
2. Mafunzo na mwongozo maalum kwa makundi na taasisi (group coaching)
3. Ushauri wa kitaalam kuhusu maendeleo binafsi (personal development)
Mawasiliano yetu:
Simu: +255 752 465 039
Baruapepe: lenzimindset@gmail.com
* * *
Pata Kozi Kuhusu jinsi ya kujiajiri na kuongeza kipato kwa kutumia MAUDHUI kwa bei nafuu ya TZS 15,000 tu kupitia hapa https://tr.ee/UTrb-ghbfk
#HatuaMojaMbeleKilaSiku #michaelkamukulu #lenzimindset #lenziacademy
* * *
⏳ Time Stamps:
00:00 Ishara 10 za ukomavu
00:20 1. Haushindani na watu
01:06 2. Hufuatilii mambo ya watu
01:42 3. Furaha yako ni jukumu lako
02:18 4. Unatabasamu mbele ya wabaya wako
02:41 5. Utaheshimu maamuzi yako
03:21 6. Hautavumilia mahusiano yasiyo na faida
03:57 7. Utakuwa msikilizaji
04:21 8. Hautalazimisha kukubalika
04:56 9. Utajengeka kwenye nyakati ngumu
05:37 10. Utathamini faragha yako