jamaa aitwaye madhav ajikuta akizama kwenye penzi la binti wa kishua baada ya kujiunga chuo kwa mara ya kwanza, mapenzi yanapitia mikasa mingi ya furaha na migogoro fuatilia.....................,