MENU

Fun & Interesting

JINSI YA KUOMBA WAKATI WA MCHANA.

Apostle Mtalemwa Bushiri 115,081 4 years ago
Video Not Working? Fix It Now

HOW TO PRAY IN THE AFTERNOON There are many things that God has closed in a certain time or season. In this lesson we learn how the day (noon/afternoon) has many good things if we understand how to use it. Also in this lesson Apostle Mtalemwa explains TWO KEY POINTS TO PRAY DURING THE DAY. Follow this lesson to learn more. (Swahili) JINSI YA KUOMBA WAKATI WA MCHANA Kuna mambo mengi Mungu ameyafunga katika muda ama majira fulani. Katika somo hili tunajifunza jinsi mchana ulivyo na mambo mengi mema endapo tutaelewa jinsi ya kuutumia. Pia katika somo hili Apostle Mtalemwa anaeleza MAMBO MUHIMU MAWILI YA KUOMBA WAKATI WA MCHANA. Fuatilia somo hili upate elimu zaidi.

Comment