MENU

Fun & Interesting

Jinsi ya Kuongeza Mvuto kwa Watu ili Wakupende zaidi (Mbinu 10 za kuwa mtu tofauti mwenye kibali)

LENZI Mindset | Michael Kamukulu 32,747 lượt xem 4 weeks ago
Video Not Working? Fix It Now

Ulishawahi kujiuliza, kwa nini watu hawakupendi? Sio mara zote kwamba watu hawakuna mvuto na wewe au hawana kibali kwako. Kuna njia nyingi zinazoweza kukusaidia kujua jinsi ya kuongeza mvuto kwa watu na kuwafanya waweze kukupenda zaidi.

Kwenye video hii tunakufundisha mbinu 10 za kukufanya uwe na mvuto pamoja na kibali kinachokuwezesha kuwa mtu mkubwa, mtu wa juu na mtu wa tofauti.

Jifunze jinsi ya kufanya ili uwe tofauti, na upate fursa na nafasi ya kuinuka na kusimama imara ukiwa kiongozi na mwongoza njia wa maisha yako na kuwa na ushawishi kwa watu wengi. Ungana na Michael Kamukulu kupitia @lenzi.michaelkamukulu na @lenzimeacademy ili uweze kupata maarifa na ujuzi utakaokubadilisha na kuwa na tabia za watu wenye mafanikio na matokeo makubwa kifedha na kimaisha kwa ujumla. Ni wakati wako kung'ara na kuwa mtu wa thamani zaidi kwa wengine na kwa maisha yako. Utajiri na umasikini vyote viko kwenye nguvu ya tabia, mienendo na maamuzi yako ya kila siku.

Tazama video hii sasa na uanze safari yako ya mabadiliko, ushawishi na kuwa tofauti!

———————————————
Wasiliana nasi kwa huduma zaidi ikiwemo:

1. Mafunzo na mwongozo maalum wa kufikia malengo (personal/individual coaching)
2. Mafunzo na mwongozo maalum kwa makundi na taasisi (group coaching)
3. Ushauri wa kitaalam kuhusu maendeleo binafsi (personal development)

Mawasiliano yetu:
Simu: +255 752 465 039
Baruapepe: lenzimindset@gmail.com

* * *

Pata Kozi Kuhusu jinsi ya kujiajiri na kuongeza kipato kwa kutumia MAUDHUI kwa bei nafuu ya TZS 15,000 tu kupitia hapa https://tr.ee/UTrb-ghbfk

#HatuaMojaMbeleKilaSiku #michaelkamukulu #lenzimindset #lenziacademy

* * *

Chapters
00:00 Siri ya kuwa na Mvuto
00:33 1. Kuwa MSIKILIZAJI
01:16 2. Jiamini Bila Kiburi
02:31 3. Ishi Kiwango Chako
03:30 4. Usiwe Mchukuaji
04:15 5. Kuwa Mkarimu
04:45 6. Tegemewa na Uaminike
05:57 7. Wasome WATU
06:45 8. Chunga Nyendo Zako
07:34 9. Tengeneza Brand (Chapa)
09:07 10. Tumia UPEKEE wako
10:14 Closing

Comment