MENU

Fun & Interesting

KADA WA CCM GODFREY MALISA AFUKUZWA CCM SABABU HII YATAJWA.

Helambili tv 178 lượt xem 2 weeks ago
Video Not Working? Fix It Now

Chama cha mapinduzi ccm mkoa wa Kilimanjaro kimemfuta uwanachama kada wa chama hicho Godfrey Malisa kwa sababu za kupinga uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombe wa Urais kwa tiketi ya chama cha mapinduzi uliofanywa na wajumbe wa mkutano mkuu wa ccm mwezi January
Na hiki ndicho alichozungumza malisa Baada tu ya wajumbe kumteua Dkt Samia Suluhu Hassan Kuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya chama cha mapinduzi CCM katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.

Comment