KIJANA MDOGO BILIONEA, AJENGA JUMBA LA BILIONI 1, ANAUZA DAWA "NILIACHA KAZI SERIKALINI WAKANISEMA"
Anaitwa Amelye Mhagama kijana mwenye umri wa miaka 34 mfamasia aliyekuwa akifanyakazi serikalini kwa miaka saba tangu 2010 hadi 2017 na kuachana na kazi za serikalini
Mwaka 2017 alianza kujitafta kwa ufungua maduka ya dawa za binadamu na safari yake ilianzia mkoani Dar Es Salaam na sasa ni miongoni mwa vijana waliojipata anamiliki maduka makubwa ya Dawa Dar Es Salaam, Arusha na Dodoma ambako amejenga nyumba ya zaidi ya Bil.1 na ameiweka nje ya mji lakini sisi tumemtafta ili atupe ukweli kuhusu kumiliki nyumba hiyo ikiwemo safari yake ya maisha