MENU

Fun & Interesting

KIMEUMANA! WATUMISHI WAKATAANA MBELE YA WAZIRI MKUU, PESA ZAPOTEA - "NANI ALIWATUMA MTOE PESA?"

Wasafi Media 165,064 1 year ago
Video Not Working? Fix It Now

KIMEUMANA KIGOMA! WATUMISHI WAKATAANA MBELE YA WAZIRI MKUU, PESA ZAPOTEA "NANI ALIWATUMA MTOE PESA?" Waziri Mkuu amemuagiza Kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Kigoma, Steven Mafiga afanye haraka kuwachunguza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza, Bi. Zainab Mbunda na Mweka Hazina wa Wilaya hiyo, Bw. Majjid Mabanga ili kubaini ni kwa nini miradi haiendi wakati fedha zilishatolewa kitambo.

Comment