Kipindi hiki maalumu kimeandaliwa Chini ya Mradi wa kujenga Vyuo Vikuu Imara (BSU). Kipindi hiki kinalenga kuwafundisha Wafugaji wa kuku Mbinu bora za Ufugaji hasa za utengenezaji wa Chakula cha kuku ili kupunguza gharama kubwa za vyakula vya Viwandani.