Osman Kazi na jopo la wataalamu wa sheria za soka wanachambua matukio yote yalikuwa na utata katika mechi ya Ligi kuu ya NBC kati ya namungo FC vs Simba iliyopigwa Februari 19, 2025 kwenye Dimba la Majaliwa, Lindi.
katika mchezo huo palikuwa na penati tatu na kadi nyekundu kwa mchezaji wa Namungo...