Ungana nasi Katika mada hii aliotoa Sheikh Othman Maalim akitoa kisa cha Nabii Mussa (A.S) SEHEMU YA TATU, kuna mazingatio makubwa mada hii, iliofanyika Masjid Nour Muhammad, Cameraman kutoka Al Hijra Video Production. Usisahau ku Subscribe channel yetu