Khutba ya Ijumaa iliyotolewa na Sheikh Nurdeen Kishk Masjid Ihsaan Veternary Temeke Tarehe 12/2/2010, mada ikielezea kisa cha watu wa Nabii Lutwi, ni kisa gani fatilia hadi mwisho upate kuelimika na tunaomba usambaze ujumbe huu kwa wingi na Allah atawalipeni InshaAllah.