Kitale: Sharo Milionea ALIUAWA, tuliwakamata wote, ilibidi nifanyiwe DUA siku TATU | Chill na Sky
Kitale anafunguka kuhusu ajali iliyosababisha kifo cha Sharo Milionea, lakini anatupa taarifa ambayo wengi tulikuwa hatujui kuhusu kifo chake
#ChillnaSky