Tamasha la Kizimkazi lililomalizika Agosti 25 huko Paje Zanzibar, limejizolea umaarufu nchini Tanzania ndani ya miaka michache.
Mwandishi wa BBC Sammy Awami @sammyawami anaelezea.
#bbcswahili #tanzania #zanzibar
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw