#ndaniya18 leo tumekaa na Justine Kessy nakuzungumza naye kuhusu madai ya kuwepo kwa uchawa kwa Watangazaji nchini wanao pendelea timu moja kati ya Yanga na Simba.