Lazima ifikie hatua tufuge kisasa, ili kuongeza tija. Kwa mengi ambayo nimeyaleta kwenu pamoja na NJIA HIZI TATU naimani kubwa huu mwaka utakuwa wako katika ufugaji.