KWAME NKRUMAH: Rais Aliyeoa Mke Asiyemjua Kuiunganisha AFRIKA!
Kwame Nkrumah aliipenda Afrika kwa dhati, akapinduliwa kwa hila! Aliamini Afrika ni moja, akaapa kuiunganisha, mabeberu yakampa za chembe na kisha kushangilia.
Yakaua uchumi wa Kokoa, vyuma vikakaza nchini, nchi ikajaa wasema ovyo, Nkrumah akajaribu kuwanyamazisha kwa rungu akanyamaza yeye.
#KWAMENKRUMAH
https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:
www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID:
https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho