UZINDUZI WA @chekaplustv CH 414: Moja kati ya wachekeshaji waliokuwa wakisubiriwa kwa hamu ni pamoja na @laughs_on_leonardo ambaye kwanza alianza na mkwara wa ajabu, ambao wote tunajua anauweza kisawa-sawa 😂
Uzinduzi ulikuwa LIVE muda mfupi uliopita kupitia #UTV108
#ChekaTu #ChekaTu414 #ChekaTuPlus #azamtvburudanikwawote