MADHABAHU ZA MIZIMU YA FAMILIA NA UKOO HAZIVUNJIKI KAMA HUJAFUATA KANUNI HIZI,NA JENGA KWA KANUNI.
Mateso ya watakatifu wengi chanzo ni madhabahu ambazo hazikuvunjwa Kwa kufuata taratibu hivyo hazivunjiki ndio maana wengi waliomba Sana kuvunja hizo madhabahu lkn Bado mizimu inawafuata na kuwazuia na kuwanajisi sababu ipo hapo.
Fuata SOMO hili na fuata taratibu hizo utaona zikivunjwa na kumalizika kabisa.