Clatous Chama amefunga magoli mawili, Yanga ikiichakaza Mashujaa FC magoli 5-0 kwenye Dimba la Lake Tanganyika, Kigoma, mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara....
Chama amefunga dakika ya 74 na 83 huku mengine yakifungwa na Duke Abuya, Prince Dube na Khalid Aucho..