MENU

Fun & Interesting

MAGONJWA 10 TISHIO KWENYE UFUGAJI WA KUKU

Changamkia Fursa 65,092 7 years ago
Video Not Working? Fix It Now

Ufugaji wa Kuku wa kienyeji unakumbwa na changamoto nyingi zikiwemo magonjwa pamoja na mfumko wa bei za vyakula. Swala ambalo linapelekea wafugaji wengi wanakata tamaa ya kendeleza miradi yao kutokana na hasara wanazozipata katika ufugaji zinazosababishwa na magonjwa. Ndugu mfugaji usikate tamaa wala usiache ufugaji wa kuku, Nime kukusanyia magonjwa 10 Yanayooleta hasara Kubwa kwa wafugaji 🐔🐓🐔. MAGONJWA YANAYO ATHIRI KATIKA UFUGAJI 1. Ugonjwa wa mdondo 2. Ugonjwa wa gumboro 3. Ugonjwa wa ndui 4. Kuharisha damu (coccidiosis) 5. Ukosefu wa vitamin A 6. Typhoid ya kuku 7. Kuharisha nyeupe 8. Kipindupindu cha kuku 9. Mafua ya kuku 10. Viroboto, utitiri na chawa PLAYLIST Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji https://bit.ly/2JlD0sl Ufugaji wa Kuku Chotara https://bit.ly/39r7FPD Magonjwa Tishio ya Kuku https://bit.ly/39oRfr1 Ujenzi wa Banda Bora https://bit.ly/3bxQJs2 Uleaji Bora wa Vifaranga https://bit.ly/2JjPH73 SOCIAL MEDIA YouTube; https://bit.ly/2vU8SBg Facebook; https://bit.ly/39ogwlb Instagram; https://bit.ly/3dA25xF Twitter; https://bit.ly/2UIh3Jh What's app; 255 (0)752209073 For Business Purposes Email; [email protected] What's app; 255 (0)692518225 Share video hii tuwaokoe na wafugaji wengine wenye changamoto katika ufugaji

Comment