Mahakama ya Wilaya ya Moshi imemsomea maelezo ya awali Wendy Mrema pamoja na Watuhumiwa wengine wawili maelezo ya awali ya kesi ya mauaji inayowakabili.